Umetukuka By Israel Ezekia
![](https://www.djomslyrics.iko.co.ke/wp-content/uploads/2019/05/maxresdefault-1.jpg)
Mfalme mwema,
mwaminifu,
Baba Mweza yote
Una nguvu, haushindwi, pokea utukufu
Chorus
Twakupa heshima na sifa zote ewe Mungu umetukuka
Verse II
Mtakatifu, Mtakatifu
Bwana wa majeshi,
Dunia yote imejawa na utukufu wako