SITASAHAU – DAN KAHIA & ALICE KAMANDE

Ayee Ayee Ayee

Wewe ni wimbo wangu
Wewe ni ngome yangu 
Umenitoa mbali sana 
Singeweza kujitoa Aaaa
Ukanipenda mimi

Kwenye mwamba imara
Usiotingizika 
Naami Sitasahau

Chorus 
Sitasahau wema ulionitendea 
Mabonde na milima ulionipandisha 
Mito na bahari ulizonivukisha
Sitasahau mimi *2

Kama sio wewe yesu 
Ningekua wapi mimi 
Kama si mkono wako 
Adui angenimaliza 
Ukaniona mimi

Kwa macho yako ya rehema 
Ukanikomboa 
Kwa mkono wako wenye nguvu 
Na mimi nisije nikasahau 
Si kwa uwezo wangu 
Kwani ni mkono wako 
Nami sitasahau

chorus
Sitasahau wema ulionitendea 
Mabonde na milima ulionipandisha 
Mito na bahari ulizonivukisha
Sitasahau mimi

Ayee Ayee Ayee Ayeeya
1,2,3 Kamata….Guitar

Umenitoa mbali sana 
Wanipeleka mbali sana *3

Chorus 
Sitasahau wema ulionitendea 
Mabonde na milima ulionipandisha 
Mito na bahari ulizonivukisha
Sitasahau mimi

djomskenya@gmail.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *