Saint Stevoh – Come Through (Episode IX)

Saint Stevoh – Come Through (Episode IX)

Nimeskia ukitajwa sana wanakuita Jehovah Shammah
Bendera ya Wokovu wangu wanakuita Jehovah NISSI

Nikiwa na shida na mahitaji nalilia Jehovah Jireh
Amani yangu utulivu wangu nakuita Jehovah shalom….

Come Through for me (Through for me x2) Mungu wa Miujiza..

Nime kuskia kwa redio na mitaani
Wanasema wafufua wafu na vipofu wanaona,

At the mention of your name mapepo yanatoeka
At the mention of your name viziwi wanasikia,

(Come Through for me,
Mungu wa Eli ya Isaka

Ulivyofanya zamani
Mungu wangu mwenye mamlaka ) x 2

CHORUS

Mungu wa Agano
Usifiche uso wako mimi nitaangamia

Ulisema we ni nguvu wa wanyonge
Wenye haki hapo kwako ndiko wako salama,

Ona mama Yule machozi machonI kila siku anakuita
Ona Baba Yule uchungu moyoni kila mara anakungoja Come Through for me,

Mungu wa Eli ya Isaka
Ulivyofanya zamani
Mungu wangu mwenye mamlaka ) x 2

CHORUS
Come Through for me (Through for me x2) Mungu wa Miujiza..

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *