Pitson – Uvumilivu

Nilisikia sauti yako ikiniita aah
mwana wangu njoo, njoo ooh ooh
ninakuita
nikaachana na ya dunia, nikaokoka
sikujua kuna uwezekano wooh uu wooh

Kuna uwezekano wa binadamu kuchoka (kuna uwezekano)
kuachana na njia (njia zako)zako na kupotoka (kupotoka)
kuna uwezekano wa binadamu kuchoka
ndio maana naomba nipe eeeh wooh uu wooh
Nipe uvumilivu (nipe uvumilivu)
nipe uvumilivu (nisipotoke kwa njia zako)
nipe uvumilivu (nipe Baba, nipe Baba)
nipe uvumilivu

nilidhani nikifikisha, miaka ishirini na mbili
nitakuwa na gari nzuri, na nyumba mzuri na pengine bibi
nilidhani nikifungua, biashara Nairobi mjini
nitapata wateja wengi, nitapata faida nyingi
nimebaki na alama ya mshangao akilini
kila siku kwa maombi, nauliza mbona mimi
Kuna…

Kuna uwezekano wa binadamu kuchoka (binadamu kuchoka)
kuachana na njia zako na kupotoka (kupotoka)
kuna uwezekano wa binadamu(binadamu kama mimi) kuchoka
ndio maana naomba nipe, nipe Baba, nipe Baba aaah
Nipe uvumilivu (Baba uvumilivu)
nipe uvumilivu (nisipotoke kwa njia zako)
nipe uvumilivu (nisirudi nyuma nisahau Baba)
nipe uvumilivu (wooh woouuooh)

Eeh,..Eeh,..Eeh
Eeh,..Eeh,..Eeh

Kuna uwezekano wa binadamu kuchoka
kuachana na njia zako na kupotoka
kuna uwezekano wa binadamu kuchoka
kama unajua nasema ukweli, inua mikono na useme eeh
Nipe uvumilivu (nipe Baba uvumilivu)
nipe uvumilivu (nipe Baba uvumilivu)
nipe uvumilivu (ooh nipe Baba, nipe Baba)
nipe uvumilivu (nipe uvumilivu)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *