MR.SEED & SOLOMON MKUBWA – UPO

Mr Seed again, Solomon Mkubwa Mmmh tunakuamini daily
Mmmh tunakungoja daily baba Eeh na giza limejaa,
angaza tukuone Mmmh wagonjwa wamejaa shuka uwaponye
Eeh na giza limejaa,

angaza tukuone eeeh wagonjwa wamejaa shuka uwaponye
Wacha wajue kwamba upo(upo)
Baba upo(baba upo) Wacha wajue kwamba upo(upo)

Baba upo Wewe upo ai, Wewe upo Wewe upo mmmh
Wewe upo Watu wanakuhitaji bwana
Watu wanakungoja Kanisa linakugoja

Wanamuziki tunakungoja
Tunataka tuone mwangaza mbele yetu Giza limejaa,
Tunahitaji tuone mwanga Wangonjwa wamejaa

wengine wanahitaji uponyaji
Oooh hakuna pesa hakuna job
Wengine wanahitaji wapate kazi

Tumekuamini wewe upo Mungu Kwako tegemeo letu tumelala
Akili zetu zote ni kwako bwana Wewe upo, wewe upo, wewe upo woo
Tunakujua wewe upo Mungu
Unatowanga watu chini unawaleta juu Kumbuka huyu mama

Anaye mgonjwa hospitalini
Kumbuka familia hii Inakungoja bwana Kanisa linakungoja
Tuone mwangaza mpya Wanamuziki tunakungoja
Tuone mwangaza mpya Wewe upo, wewe upo,
wewe upo Na giza limejaa, angaza tukuone

Wagonjwa wamejaa shuka uwaponye
Na giza limejaa, angaza tukuone
Wagonjwa wamejaa shuka uwaponye

Wacha wajue kwamba upo(upo) Baba upo(baba upo
Wacha wajue kwamba upo(upo) Baba upo
Wewe upo ai, Wewe upo Wewe upo mmmh
Wewe upo Upo Mungu wangu usiyesinzia

Upo Mungu wangu unayetujua Seed,
Mr Seed, unamjua kwa majina yake Oooh upo, upo oooh
Tunakuamini Mungu Hatutabaki jinsi tulivyo
Maisha yako hayatabiki jinsi ulivyo Amen, Wewe Upo!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *