Moji ShortBabaa – Fiti Sana ft Des

Moji ShortBabaa – Fiti Sana
Ooh ooh yeah ye ye ye
Kwa Yesu ni kufiti sana
Ooh ooh yeah ye ye ye
Kwa Yesu ni kufiti sana
Sana na na na na
Sana na na na na
Sana na na na na
Sana na na na na

Namsifu na kayamba ama rakatu
Niwe juu ya nduthi ama matatu
Yesu namba moja sio namba two
Nimesoma bibilia sio kanga tu
Eeh kwake sina noma sina wololo
Siko peke yangu siko sololo

Nipate kanisani si kwa ngololo
Na siingizi baridi siko wololo Sitafuti tena,
Za shetani sitafuni nimetema Nimezaliwa tena,
Mimi na Yesu hadi nilazwe pema

Ooh ooh yeah ye ye ye Kwa Yesu ni kufiti sana
Ooh ooh yeah ye ye ye Kwa Yesu ni kufiti sana
Sana na na na na Sana na na na na
Sana na na na na Sana na na na na Yes I am,
amenishow Agape Agape eeh eeh Yes I am,
hahesabu mara ngapi eeh eeh Niko kwake,

niko kwake sipigwi na ukame eeh eeh Niko kwake,
niko kwake watangoja ndo nihame eeh eeh Nawapeleka na hii,
kwa Yesu namaintain kama flight Nawapeleka na hii,
kwa Yesu namaintain kama flight Nasitafuti tena,
za shetani sitafuni nimetema Nimezaliwa tena,

nina Yesu hadi nilazwe pema
Ooh ooh yeah ye ye ye Kwa Yesu ni kufiti sana
Ooh ooh yeah ye ye ye
Kwa Yesu ni kufiti sana Sana na na na na
Sana na na na na Sana na na na na
Sana na na na na Fiti sana fiti sana
Sana na na na na Fiti sana fiti sana

Sana na na na na Oya nikufiti,
nor kufiti kufiti Sana na na na na Oya nikufiti,
nor kufiti kufiti Sana na na na na Fiti sana,
fiti sanaa Sana na na na na Fiti sana, fiti sanaa
Sana na na na na Oya nikufiti, kufiti kufiti
Sana na na na na Oya nikufiti,
kufiti kufiti Sana na na na na Sana na na na na
Sana na na na na Sana na na na na Sana na na na na

1 thought on “Moji ShortBabaa – Fiti Sana ft Des

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *