Ipo Siku

Goodluck Gozbert

nimbalii nimetoka
tena niajabu kuwa hai, maana ningeshakufa aga.

nimengi nimeona, tena yakuvunja moyo labda ningesha mwacha mungu.
oh kama ni misongo magojwa maa
nimepitia, nikazoea

maumivu yakudharauliwa umaskini.
kila siku tunajipa moyo (mmh)
ipo siku yangu tu, ipo siku
sikuu

ipo siku yangu tu, nami niba nibaniba nibalikiwe×2
nami nibalikiwe(nibalikiwe)
ah nibalikiwe (nibalikiwe)
oh ninalikiwe (ninalikiwee, ni balikiwe, nibalikiwee nibaniba nibalikiwe)
instrumenal
mmh

ayaya×3
ingawa kwasasa wananisema vibaya, nami sishangai najua niyawanadamu hayoo
ingawa sipati na nikwa muda murefu siachi kuomba mungu si kiziwi

ah binadamu wema ukiwanacho, kwasasa waniepuka sina rafiki wala tii.
oh kama ni misongo ya magonjwa mawazo maa
nimepitiaa, nikazoea, maumivu ya kudharauliwa umasikini kila sikuu ninajipa moyoo
mmmh
miaka imepita onaombaga mtoto hupati, vuta subira maana yeye achelewi.
unabiashara imeandamwa mikosi hupati, usimwache mungu waganga watakuponza,

mpo kwa ndoa hila nyumbani amani hakuna, msimwache mungu michepuko sio jibu
umeugua tumaini lakupona hakuna, siku yako imekaribia heyy
najua, ayaya ×2
ipooo
najua, ayaya
ipooo

misukosuko ya ndoa, mtoto anakusumbua, giza likiingia unawaza wapi utalala (iba iba ibalikiwe)
masimango mashemeji ati huzai mtoto
masimango mama wa kambo, umemchosha nyumbani

usiwaze husiumie, najua yote yatapita
nawe ubalikiwe (ubalikiwee)
nawe ubalikiwee×2

1 thought on “Ipo Siku

  1. It’s an amazing song i like it so much it’s really giving a great hope to me though I don’t understand swahili very well ,but I got the message which is says that (my day is there and I believe that I will be blessed)
    Be blessed me.Goodluck

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *