Huniachi (Album Usifadhaike) – by Reuben Kigame and Sifa Voices Featuring Gloria Muliro

Huniachi
Reuben Kigame

Umeahidi wewe bwana… huniachi
Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi
Wewe ni mungu uliye mwaminifu siku zote
Mimi ninaiweka imani yangu kwako baba

Unalijua jina langu ewe bwana… huniachi
Unatengeneza njia hata mito kule jangwani
Wewe ndiwe alpha na omega… huniachi

Ukamtoa danieli kutoka tundu la simba
Wewe huwainua na wanyonge siku zote
Watuepusha na hatari kila siku usifiwe

Marafiki nao wanaweza nigeuka
Mara kwa mara maadui wanizunguka
Nitaishi kwa ahadi yako bwana, huniachi huniachi

2 thoughts on “Huniachi (Album Usifadhaike) – by Reuben Kigame and Sifa Voices Featuring Gloria Muliro

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *