BWANA NDIYE KITO MURHUBUBA

Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.
Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza.

Nijapopita kati ya ubonde wa mautiyee, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upamoja namie, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.

Bwana umeniandalia meza mbele yadui zanguwee nawatesi wangu umenipaka mafuta, mafuta yautukufu wako Yesu weeee,

Hakika wema na fadhili zako zitanifuata maishani mwangu;
Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele. Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele ×5

Nijifiche chini ya uvuli wako Rabbi ulimwengu hauna faida, sitatoka kwako kwako kunaraha Jehovah uniangaziye nione njia ya ukweli ifikayo karibu nawe Jemedari Yesu sitatoka kwako sitatokaoooo nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele yote yeee nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele

1 thought on “BWANA NDIYE KITO MURHUBUBA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *