SLEJJ ft PITSON – RAHA
![](https://www.djomslyrics.iko.co.ke/wp-content/uploads/2020/03/maxresdefault-1024x576.jpg)
NTRO
a say brang’abang’abai…. eeah…
le grand…
Slejj…
Vikypondis
VERSE 1 (SLEJJ)
Nilitafuta tafuta raha,
nikadhani nitapata,
kwa mambo ya dunia,
Yote niliyoyafanya,
bure kwangu kujigamba,
nikaja kugundua,
nilijiona, eh
vile mi ni mutu,
noma, eh
mivinyo nili, bonya eh
ila Yesu kani, ponya eh
PRE CHORUS
Shetani atu winda winda winda,
analeta shida shida shida,
lakini tuta shinda shinda shinda,
ju mwokozi atu linda linda linda,
Shetani atu winda winda winda,
analeta shida shida shida,
lakini tuta shinda shinda shinda,
ju mwokozi atu linda linda linda,
CHORUS
kweli kweli nilipotea sana, sana,
ila baba kaniokoa sana eeeeh..
mimi kwako nina raha,
kwako nina raha,
mimi kwako nina raha,
kwako nina raha
VERSE 2 (PITSON)
ningalijua, ninavyojua,
eti yote ni ya dunia,
na ya dunia, ni ka maua,
yote mwisho hupotea,
nilidhani mi hodari,
kuwacheza ki Arsenali,
wazungu na wahindi wasomali,
wa geti kali,
na ghetto hadi,
PRE CHORUS x2
Shetani atu winda winda winda,
analeta shida shida shida,
lakini tuta shinda shinda shinda,
ju mwokozi atu linda linda linda,
CHORUS x 2
kweli kweli nilipotea sana, sana,
ila baba kaniokoa sana eeeeh..
mimi kwako nina raha,
kwako nina raha,
mimi kwako nina raha,
kwako nina raha
BRIDGE
CHORUS x3
dj Oms