Eric Smith – Wewe Ni Zaidi
Verse#1
Ninashangaa nikielewa
Wewe ni zaidi ya vile nilivyoambiwa juu yako
Tena sauti yako baba yanizidia
sauti zote ninazosikia
Chorus
Yale umetenda Baba Yote ni makuu
Maana wayatenda kwa upenda
Yale unasema Babayote ni kweli
Maana pia wayasema kwa upendo
Verse#2
Nimejipata ndani ya upendo wako
umekuwa kwangu mapumziko
neema yako yanitosha
Nikiwa nawe,mimi niko huru
Wewe ni Mungu Mkuu
Mfalme wa wafalme
Muumba mbingu na nchi
Heshima zote ni zako bwana
Hakuna kama wewe
Chorus
Yale umetenda Baba Yote ni makuu
Maana wayatenda kwa upenda
Yale unasema Babayote ni kweli
Maana pia wayasema kwa upendo