Timothy kaberia- Shangilia Ametenda Mema
Moyo wangu,
Sifu Bwana
sifu Bwana
Siku zote,
Hallelluyah
Hallelluyah
Imba imba,
Anaweza anaweza
Tumshangilie
Kwa shangwe kubwa
Hallelluyah
Ndiye Bwana wa Mabwana
Shangilia
ametenda mema
Yesu Bwana
Mfalme wa ajabu
Ameshinda kifo na mauti
Atawale milele amina
Timothy kaberia