umenifanya ibada
Umenifanya
Ibada
Nikuabudu
umenipa kutumika chini ya pendo lako X2
Mamlaka na
nguvu ninazo,
kufanya lolote utakalo
mamalaka na nguvu ninazo
maana we upo,ndani yangu X2
Umenifanya
Ibada Nikuabudu
umenipa kutumika,chini ya pendo lako
mamlaka na nguvu ninazo
kufanya lolote utakalo
mamalaka na nguvu ninazo
maana we upo ndani yangu X2
Umenificha
sirini,mwako bwana
nikujue zaidi ya fahamu zangu X2
Mamlaka na
nguvu ninazo
kufanya lolote utakalo
mamlaka na nguvu ninazo
maana we upo ndani yangu X2
Umenifanya
Ibada,nikwabudu
umenipa kutumika,chini ya pendo lako
mamlaka na nguvu ninazo
kufanya lolote utakalo
mamalaka na nguvu ninazo
maana we upo,ndani yako X2 X2
Nasema ndio
Ndio X4
Ndio
bwana,bwana
ndio bwana,bwana X4
Nasema ndio X4
Ndio
Bwana,bwana
Ndio bwana,bwana X6