ANDY MBURU ANANIJALI
![](https://www.djomslyrics.iko.co.ke/wp-content/uploads/2019/05/images-1.jpg)
Nimeomba
Tena sio mara moja,
Kwa roho na kwa kweli,
Bali sijapata,
Majibu yangu kuyaona,
Adui,shetani
mwongo,
Asema ya kwamba mwenyezi mungu yeye hanijali,
Bali, siwezi sitomkubali,
Niyayo hakikisho, ya kweli ninajua,
Ananijali
Sitokubali
kuzama kwenye maji,
Ananipenda
Yeye ni mwema
Ni za
dunia,
zangu hizi shida,
Hanitanizuia kukutumikia
Nitafuata mimi hiyo njia,ya kweli na uzima,
Kwani,ulisema yote yamekwisha,
Sitababaishwa,
Ninajua yatapita
Kwani,baada ya usiku giza,
Ninayo hakikisho,asubuhi itafika