Adawnage Band – Naomba
Sikudhani
Mimi Nimekupa Weh, Huzuni Kiasi Hicho
Dhambi Mingi, Maombi Hayatoki Nisamehe Baba
Uchovu Na Uvivu Umenijaza, Moyoni Sina Amani
Naomba
Unipe Raha, Msamaha, Mi Naomba Uwashe Taa
Popote Niendapo Chochote Nifanyacho Sasa, Nifungue Macho
Nipate Kuona, Kuhisi, Nipate Upako Wako
Naomba Baba, Mimi Naomba, Mikono Nimeinua
Nishike Baba, Unifiche Mikononi Mwako
Nionyeshe Baba Wema Wako, Unifanye Chombo Chako
Naomba, Naomba, Baba Mi Naomba
Sikudhani
Mimi Nikiteleza, Nakusulubu Tena
Uchungu Mwingi, Machozi Yakutoka, Nisamehe Baba
Unizibie
Ufa, Nisijenge Ukuta, Bwana Umetukua
Naomba Unipe Raha, Msamaha, Mi Naomba Uwashe Taa