MR.SEED – SIMAMA
MR.SEED – SIMAMA
Eeeeeee !
Mmmmmmm !
Mr seed again
Seed again
Nimekua chini sitabishana
Sitabishana lakini kwa jina la yesu simama
Oooooooo!
Na pesa ipotee
Na watu wanitokee
Kwa jina la yesu nasimama
Ooooooo ! Oooooo!
Nimengangana kwa bidii
Maneno ya wenzangu sisikii
Kwa maisha yangu Mungu unanitoosha
Mmmmmm!
Nimengangana kwa bidii
Maneno ya wenzangu sisikii
Kwa maisha yangu Mungu unanitoosha
Mmmmmm!
Ninasimama ninasimama
Ninasimama ninasimama
Kwa jina la yesu nasimama
Ninasimama ninasimama
Ninasimama ninasimama
Kwa jina la yesu nasimama
Nilipata tabu dunia iliponsukuma kwa kona
Nilipata tabu nikaona kujitoa uhai ndio bora
Mungu wa Abrahamu alijitokeza mwenyewe tu
Akaniambia mwanangu usijali niko na wewe
Ata wanadamu wakiniangusha nibebe tu
Sitajali niko salama nikiwa na wewe
Nimengangana kwa bidii
Maneno ya wenzangu sisikii
Kwa maisha yangu Mungu unanitoosha
Mmmmm!
Nimengangana kwa bidii
Maneno ya wenzangu sisikii
Kwa maisha wangu Mungu unanitoosha
Ninasimama ninasimama
Ninasimama ninasimama
Kwa jina la yesu nasimama
Ninasimama ninasimama
Ninasimama ninasimama
Kwa jina la yesu nasimama
Mi nasimama! nasimama!
Nasimama!
Mmmmm ! Mi Nasimama
Ukiwa na mimi nasimama
Mi nasimama! nasimama!
Nasimama!
Mmmmm ! Mi Nasimama
Ukiwa na mimi nasimama
Ninasimama ninasimama
Ninasimama ninasimama
Kwa jina la yesu nasimama * 4